Natural Bliss

115. JINSI YA KUTUNZA NYWELE NATURAL/ZA ASILI IPASAVYO (KWA USAHIHI)

Kama unataka kuwa na safari yenye nywele nzuri, zinazovutia na zenye afya basi Zingatia yafuatayo na huna budi kukidhi mahitaji ya vitendea kazi  nitakavyovitaja; haijalishi utavipata kwa mida gani lakini lazima kila mpenda nywele nzuri awe navyo.

🧚‍♂️Mafuta ya maji (namaanisha natural oils)mfano avocado,castor oil,olive oil,grape seed nk

🧚‍♂️Sulfate free Moisture Shampoo

🧚‍♂️Steaming/Deep conditioner

🧚‍♂️Clarifying shampoo

🧚‍♂️Butters inaweza kuwa shea butter, mango butter etc

🧚‍♂️Leave In conditioner etc

🧚‍♂️Satin bonnet/scarf(Kofia au kitambaa cha Satin)

🧚‍♂️Kitana chenye meno mapana


Wakati huo umewekeza katika kuwa na nywele zenye afya basi nitakujulisha kazi ya Bidhaa hapo juu

☘️Moisturizing Shampoo 

Mara nyingi hii ina dhumuni ya kusafisha na kutunza unyevu nyevu mara unapomaliza kuosha nywele.

-Mara nyingi shampoo haitakiwi kukakamaza nywele zako na ukiona shampoo yako inakakamaza nywele jua aina hiyo huharibu nywele kwa kuwa zina Sulfate,ndio maana tunaelekezwa kutumja shampoo ambayo haina Sulfate,parabens,mineral oils,petroleum etc

-Shampoo hii hutumika hata mara 2 /3 kwa mwezi


☘️Clarifying Shampoo 

Hii kazi kubwa ni kuondoa build up (uchafu unaotakana na bidhaa mnazotumia so ule mrundikano hupelekea hair follicles kuziba na wakati mwingine husabisha kutokukua vizuri,kukatika katika 

-Shampoo hii unashauriwa kutumia mara moja tu kwa mwezi


ITAENDELEA

Kwa mahitaji ya bidhaa zote za kutunza nywele tupigie au WhatsApp: 0672 765 929

Post a Comment

0 Comments